News

Word: Jino Language: SwahiliPlural: Meno (teeth) Meaning:Jino means tooth — the hard structure in the mouth used for biting and chewing food.Origin:The word jino comes from the Proto-Bantu root * ...
DAR ES SALAAM; Mkakati wa Kitaifa wa Utekelezaji wa Mkataba wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA) umezinduliwa Dar es ...
DAR ES SALAAM : BALOZI wa Tume Huru ya Uchaguzi (INEC) , Balozi Omar Mapuri, amewataka wasimamizi na waratibu wa uchaguzi ...
BUKOBA: WAZAZI na walezi katika Halmashauri ya Bukoba wametakiwa kuhakikisha wanatanguliza eliku kwa watoto wao kuliko kufikiria kutoa vitu vya gharama kama simu aina ya Iphone ili kuwafurahisha.
KAGERA: Wakandarasi walioshinda zabuni ya kutekeleza miradi ya TACTICS Manispaa ya Bukoba yenye thamani ya Sh bilioni 40, ...
RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kutoa zawadi ya sh bilioni moja kwa timu ya taifa ya soka, Taifa Stars, iwapo itatwaa ...
Kwa upande wake Zuhura Ngogoto mhudumu ngazi ya afya kutokea Chamazi amesema wanakutana na changamoto bado nikubwa kwa jamii ...
Kutokana na kero hizo, Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Kenani Kihongosi ametoa siku tatu kwa madereva wa vyombo hivyo kuondoa milio ...
Makamu Mkuu wa Muhas anayeshughulikia taaluma, Profesa Emmanuel Balandya alisema chuo hicho kina uhusiano mzuri na Urafansa ...
DAR ES SALAAM; Matukio mbalimbali wakati wa uzinduzi wa Mkakati wa Kitaifa wa Utekelezaji wa Mkataba wa Eneo Huru la Biashara la Afrika (AfCFTA) leo Julai 24, 2025 jijini Dar es Salaam. Uzinduzi huo u ...
TANGA: Naibu Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais – TAMISEMI anayeshughulikia afya, Profesa Tumaini Nagu, ameipongeza Hospitali ya Halmashauri ya Mji Handeni kwa ukusanyaji mzuri wa mapato na usimamizi wa ...
UCHIMBAJI na uchakataji wa madini ya gypsum katika Wilaya ya Itigi, mkoani Singida, umeendelea kuwa chachu ya maendeleo ya kiuchumi kwa wakazi wa eneo hilo, hususan vijana na wanawake, huku Serikali ...