News

MTAALAMU wa viungo katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Shinyanga amesema inawezekana kunyoosha miguu ya watoto waliozaliwa ...
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) imetangaza kuwa wilaya za Sumbawanga Vijijini, Kilombero na Kinondoni zinaongoza kwa ...
Kaimu Mganga Mkuu wa Halmashauri ya Mji wa Njombe, Dk Jagadi Ntugwa alisema kipindi cha baridi husababisha kupungua kwa ...
ASKOFU Mkuu mstaafu wa Jimbo Kuu Katoliki la Dar es Salaam, Mwadhama Polycarp Kardinali Pengo ametoa mwito kwa wazazi wasiwe ...
Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi ( INEC) Jaji wa Mahakama ya Rufaa Mh Jaji Jacobs Mwambegele amesema leo wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya siku tatu yaliyoanza tarehe 21 hadi 23 kwa ...
ZANZIBAR; Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na uongozi wa Kampuni ya Miss World Limited ...
DAR ES SALAAM; SIMBA wanapitia makubwa nyie basi tu! Pengine hivyo ndivyo unavyoweza kuzungumzia hali ya mashabiki wa klabu ya Simba ya Dar es Salaam kwenye mitandao ya kijamii tangu kufunguliwa kwa ...
PWANI; JESHI la Polisi, Mkoa wa Pwani linamshikilia mkazi wa Mtaa wa Muhenza, Wilaya ya Kibaha, Rajabu Musa (23) kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi, Hamis Said maarufu kama ‘Mzee Mpili’ kwa tamaa ya ...
“Ombi la Ridhaa ni matakwa ya kisheria chini ya Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Sura ya 44. Hivyo, kama ofisi yako inatumia CCTV, ni muhimu kuweka taarifa inayoeleza wazi kuwa mtu anayeingia ...
DAR ES SALAAM; KAMPUNI ya Oryx Energies Tanzania Limited, imezindua rasmi kampeni ya kitaifa ya uhamasishaji wa usalama ...
LINDI: SERIKALI imesema uwezeshwaji wa wavuvi wadogo umeongeza tija katika sekta ya uvuvi na kuongeza kiwango cha samaki ...
Kamanda Magomi alisema walipoingia ndani walimkuta amelala huku matapishi yake yakiwa pembeni na jeshi la polisi lilifika na ...