News
ZANZIBAR; Rais wa Tanzania, Dk Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na uongozi wa Kampuni ya Miss World Limited ...
DAR ES SALAAM; SIMBA wanapitia makubwa nyie basi tu! Pengine hivyo ndivyo unavyoweza kuzungumzia hali ya mashabiki wa klabu ya Simba ya Dar es Salaam kwenye mitandao ya kijamii tangu kufunguliwa kwa ...
PWANI; JESHI la Polisi, Mkoa wa Pwani linamshikilia mkazi wa Mtaa wa Muhenza, Wilaya ya Kibaha, Rajabu Musa (23) kwa tuhuma za kumuua baba yake mzazi, Hamis Said maarufu kama ‘Mzee Mpili’ kwa tamaa ya ...
“Ombi la Ridhaa ni matakwa ya kisheria chini ya Sheria ya Ulinzi wa Taarifa Binafsi, Sura ya 44. Hivyo, kama ofisi yako inatumia CCTV, ni muhimu kuweka taarifa inayoeleza wazi kuwa mtu anayeingia ...
DAR ES SALAAM; KAMPUNI ya Oryx Energies Tanzania Limited, imezindua rasmi kampeni ya kitaifa ya uhamasishaji wa usalama ...
Kamanda Magomi alisema walipoingia ndani walimkuta amelala huku matapishi yake yakiwa pembeni na jeshi la polisi lilifika na ...
AFRIKA YA KATI: Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) limeendelea kuthibitisha umahiri na uaminifu wake katika operesheni za kimataifa baada ya Umoja wa Mataifa kupitia Ujumbe wa Kulinda ...
LINDI: SERIKALI imesema uwezeshwaji wa wavuvi wadogo umeongeza tija katika sekta ya uvuvi na kuongeza kiwango cha samaki ...
SHINYANGA: VITUO vya kulelea watoto wadogo mchana mkoani Shinyanga vimetakiwa kusajiliwa na kufuata utaratibu uliowekwa ili ...
Balozi Sirro amesema hayo akifungua mkutano wa mwaka wa jukwaa la mashirika yasiyo ya kiserikali mkoani humo, ambapo amesema ...
DAR ES SALAAM; Bodi ya Ithibati ya Waandishi wa Habari (JAB), imewapiga marufuku watangazaji wanne kujihusuisha na masuala ya ...
MOROGORO; WANAFUNZI wawili wa kidato cha nne wa Shule ya Morogoro Sekondari, Lusajo Mwang’onda (18) na Ghalib Omary (18) ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results