Nieuws

Rais Samia Suluhu Hassan amesema kufuatia maboresho yaliyofanywa na Serikali kiasi cha mirahaba iliyogawiwa kwa wasanii ...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema idadi ya watalii wa kimataifa wanaofika nchini imeongezeka kwa asilimia 132.1.
Teknolojia mpya ya kukausha tumbaku kwa njia ya jua imeanza kuleta mapinduzi makubwa kwa wakulima wa tumbaku mkoani Iringa, ...
Vigogo wa Chama cha Dmokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Dodoma Mjini leo wameshindwa kusomewa hoja za awali kuhusu ...
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) Mkoa wa Kilimanjaro, Gervas Mgonja amehojiwa na Taasisi ya Kuzuia na ...
Hifadhi ya Taifa ya Saadani, iliyoko mkoa wa Pwani, si tu kivutio cha wanyamapori na mandhari ya kuvutia, bali pia ni hazina ...
Wakati Maonyesho ya 49 ya Biashara ya Kimataifa ya Dar es Salaam (DITF) yakitarajiwa kuanza kesho, Jeshi la Polisi ...
Mamlaka ya Dawa na Vifaa Tiba (TMDA) imetakiwa kufika katika maeneo ya vijijini ili kutoa elimu kwa wauzaji na wamiliki wa ...
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imepanga kutoa uamuzi wa pingamizi la Jamhuri dhidi ya shauri la Mwenyekiti wa Chama ...
Ikiwa zimebaki siku mbili kabla ya maonyesho ya 49 ya biashara ya Dar es Salaam kuanza, muda wa uonyeshaji bidhaa kwa wazawa ...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema Spika wa Bunge la Tanzania, Dk Tulia Ackson ameliongoza vyema Bunge la 12 na kufanikisha ...
Rais Samia Suluhu Hassan amesema alipoingia madarakani aliona haja ya kuhakikisha wanaendelea kujenga Taifa la maelewano na ...