News
DAKIKA 90 za mchezo kati ya wenyeji Yanga dhidi ya watani zao Simba zimemtosha kocha wa Singida Black Stars, David Ouma ...
Bonface Ambani, gwiji wa soka nchini Kenya na mchezaji wa zamani wa AFC Leopards, alizindua rasmi ilani yake ya kampeni ...
YANGA ina raha sana. Inatamba na ubingwa wa Ligi Kuu Bara iliyouchukua mbele ya mtani wao, Simba na mchezo huo ukawapa kitita ...
YANGA imetetea ubingwa wa Ligi Kuu Bara kwa msimu wa 2024-2025, baada ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 dhidi ya Simba, ...
BAADA ya Mamelodi Sundown kutoka sare jana dhidi Flamengo ya Brazil, rasmi timu zote za Afrika zimeondoshwa katika mashindano ...
MCHEZO wa Dabi ya Kariakoo umemalizika ukihitimisha msimu wa Ligi Kuu Bara 2024-2025 na kutoa jibu la bingwa baada ya Yanga ...
Mwili wa aliyekuwa mwigizaji wa Jua Kali, Raidanus Vitalis 'Kitundu' umezikwa leo Juni 26, 2025, katika makaburi ya Wailes, ...
MECHI iliyokuwa ikisubiriwa kuamua bingwa wa Ligi Kuu Bara msimu wa 2024-2025, hatimaye imepigwa juzi kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa.
ONYO. Ndiyo. Mashabiki wamechoka na vurugu za mastaa wao na sasa wameamua kuwafungukia ‘live’ hawataki kuona au kusikia mambo ...
LILE pambano lililokuwa linapiga danadana hatimaye lilifanyika juzi kwenye Uwanja wa Mkapa pale Temeke. Katika mechi hiyo ya ...
VITA ya nani bingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu imemalizika kibabe baada ya Yanga kuichapa Simba mabao 2-0, mjadala mkubwa ...
MABOSI wa Dodoma Jiji, wamemalizana na mshambuliaji wao, Yassin Mgaza kwa kumuongeza mkataba wa kuendelea kuitumikia timu ...
Some results have been hidden because they may be inaccessible to you
Show inaccessible results