News

Kamanda wa Jeshi la Zimamoto na Uokoaji Mkoa wa Kilimanjaro, Jeremiah Mkomagi amesema watu 16 wameokolewa katika ajali ...
Mauaji hayo yalitokea saa 11:00 alfajiri Machi 2, 2023 katika Kitongoji cha Kota kijijini Mlimba A, wilayani Kilombero, baada ...
Bado Tunaendelea na usajili wa vigogo, hii ndio kauli iliyotamkwa na viongozi wa ACT Wazalendo. Kauli hiyo imekuja muda mfupi ...
Unaweza kuiita fursa ya kipekee kwa wadau wa burudani nchini, baada ya Busara Promotions kuja na tamasha jipya na lakipekee ...
Wananchi wa Mkoa wa Kusini Unguja, licha ya kupongeza hatua mbalimbali za maendeleo wanazozishuhudia, wamemweleza Mkuu wa ...
Watu wanne wamefariki dunia na wengine wanne kujeruhiwa baada ya kugongwa na lori la mizigo lililokuwa likisafirisha makaa ya ...
Sekretarieti ya Ajira katika Utumishi wa Umma kwa niaba ya Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) na Chuo cha Takwimu ...
Aliyekuwa mbunge wa viti maalumu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Ester Bulaya ameweka wazi kuwa amerudi Chama ...
Aliyekuwa Mbunge wa Viti Maalumu na kada wa zamani wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Nanghejwa Kaboyoka ...
Wizara ya Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar imesema kuwa mojawapo ya changamoto inayoikabili ni namna ya kuimarisha na kuingiza utaalamu wa mafuta na gesi kisiwani ili kuhakikisha ...
Watu kadhaa wanahofiwa kufariki dunia kwa kuungua moto baada ya basi la abiria kuvaana uso kwa uso na basi dogo na kusababisha kuwaka moto wilayani Same, Mkoa wa Kilimanjaro. Ajali hiyo ...