Nuacht

Rais Samia Suluhu Hassan ameliagiza Jeshi la Polisi kuongeza jitihada kukomesha matukio ya watu kupotea yanayoripotiwa sehemu ...
Kama Yanga ilikuwa na mpango wa kutetea ubingwa wa Kombe la Toyota mwaka huu huko Afrika Kusini, umekufa rasmi baada ya ...
Ikiwa zimesalia siku chache kabla ya kuanza kwa kampeni kuelekea Uchaguzi Mkuu, Chama cha Wanahabari Wanawake (Tamwa) ...
Picha ya sanamu inayofanana ya ile ya Bikira Maria (Mariam), ambaye anatajwa na vitabu vitakatifu vya Biblia Takatifu na ...
Umoja wa Maaskofu wa Makanisa ya Kipentekoste (CPCT) umemchagua Askofu Vernon Fernandes kuwa Mwenyekiti wa makanisa hayo.
Chama cha ACT Wazalendo kimeanza mchakato wa upigaji wa kura za maoni ili kuwapata wagombea wa nafasi ya ubunge, uwakilishi ...
Mahakama Kuu Masjala Ndogo Dar es Salaam imepanga kutoa uamuzi wa maombi ya Mwenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, Julai 11, ...
Jopo la madaktari bingwa kutoka Marekani, kwa kushirikiana na wenzao wa Hospitali ya Rufaa ya Kanda ya Kaskazini (KCMC), ...
Katika hatua iliyowashangaza wengi, waendesha mashtaka nchini Marekani wamefuta baadhi ya mashtaka dhidi ya mwanamuziki Sean “Diddy” Combs, siku moja kabla ya kusikilizwa kwa hoja za ...
Asilimia 75 katika vyakula 400 vya kusindikwa vilivyofanyiwa utafiti vinavyouzwa hapa nchini vimebainika kutokuwa na ubora wa ...
Kupitia Mpango wa Ufadhili wa Masomo wa EACOP na WASCO ISOAF, jumla ya wanafunzi 124 wa Kitanzania wamepata ufadhili wa masomo, ikiwa ni ushahidi thabiti wa kujitolea kwa kampuni hizo ...
Wananchi wa Zanzibar wametakiwa kuachana na muhali na kushirikiana kwa dhati na vyombo vya dola kuwafichua watu wakubwa ...